matokeo ya kidato cha nne 2012

Posted in the Tanzania Forum

Rehema lwambo

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#1 Feb 21, 2013
Tanzania tujipange upya juu ya matokeo aya ili tuweze kufikia malengo mwaka uu
Daudi mpangile

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#2 Feb 24, 2013
waziri na watendaji wake wajiuzulu kwa manufaa ya taifa kwa ujumla .Ni aibu kubwa kwa taifa.waliofanya mtihani kupata alama (o) wasiofanya kupata ufaulu inakuwaje?
Evalisti mzaga

Europe

#3 Feb 25, 2013
Tatizo ni mtaala tunaotumia umepitwa na wakati haiwezekani mwanafunzi afundiswe kiswahili miaka 7 halafu kingereza miaka 4 atafaulu vp?
Kelvin Kajela

Tanzania, United Republic of

#5 Mar 31, 2013
Serikali inatakiwa kuwa na mahusiano mazuri na walimu ikiwa ni pamoja na kuwaboreshea mishahara yao, pia iwape kipaumbele walimu wa vijijini kwa kuwaongezea posho ili walimu wasikatae kwenda kufundisha huko.
maisha mkada

Ashburn, VA

#6 Apr 3, 2013
sasa hivi wizara inatakiwa mjue mnaajiri wafanyakazi wasio na moyo wa kazi hasa waalim

Tell me when this thread is updated:

Subscribe Now Add to my Tracker

Add your comments below

Characters left: 4000

Please note by submitting this form you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Tanzania Discussions

Title Updated Last By Comments
It's Been A Hard Road To 12 Step For Zanzibar's... 7 hr Southern Ohio wac... 1
Tanzania: Energy Minister Resigns Over Escrow A... Mon rajabuu 1
matokeo kidato cha pili 2014:ng;ombe sanzu angara (Jan '14) Jan 26 Ozunu 21
matokeo (Jan '13) Jan 25 Mwanaamisi juma 7
ilvove her Jan 25 leluu 1
haya hapa matokeo kidato cha pili 2014 ufaulu w... Jan 24 abrahman abdallah... 6
matokeo ya kidato cha pili 2014 st.aggrey secon... (Jan '14) Jan 23 agnetha 27
More from around the web