matokeo kidato cha nne 2012\2013

Posted in the Tanzania Forum

Comments

Showing posts 1 - 13 of13
bwaize

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#1
Feb 25, 2013
 
matokeo kidato cha nne yanaonesha ni jinsi gani viongozi wa serikali wasivyokua na uchungu wa nchi yetu kwani sizani kama serikali haijui sababu za kufeli wanafunzi hadi tume ya ucnguzi iundwe na sizani kama watayafanyia kazi mawazo ya watalam mbalimbali yaliyotolewa.TUWE MAKINI NA SERIKALI HII TUNAZIDI KURUDI NYUMA
Massawd

Ashburn, VA

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#3
Feb 26, 2013
 
Nikweli kabisa..
Viva

Ashburn, VA

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#4
Feb 26, 2013
 
Suluhu ya karbu 80% ya watahiniwa waliofeli ni nini?tusiishie tu kuongea na kulaumiana...
tito nsemwa

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#5
Feb 27, 2013
 
kwa kweli serikari isipoteze pesa kwa kutaka kuunda tume wakati tatizo la kuferi kwa wanafunzi inatokana na sera mbovu za elim na uchache wa walim vifaa vya kufundishia na mazingira mabovu ya kufundishia.
neema mongi

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#6
Mar 8, 2013
 
Mitihani irudiwe na serikali ibadili mbinu za ufundishaji.....kilichochangia kwa wanafunzi kufeli mm naona ni mbinu nbovu za ufundishaji na pia kwenye usahihishwaji kuna mambo yameenda hovyo...
Hassan Sherou

United States

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#7
Mar 9, 2013
 
wanafunz wenyewe ndio ambao hawazingatii coz dent tang fm1 anaamin kuwa fm4 atafika bila hata ya kukaza buti ningeshaur mtihan wa kidato cha pili ULUDISHWE
victor bonaventura

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#8
Mar 10, 2013
 
hii ni lazima idadi ya zirokuongezeka kama naibu waziri wa wizara husika hawezi kuongea kingereza na je itakuaje kwa mwanafunzi aliyesoma shule ya sant kayumba hebu fuatilia presentation alivyoongea pumba huko cape town south africa.jambo hili pia limesababisha walimu kuanza kukataa wadhifa wao wa ualimu na kusababisha kujiita jina jipya ambalo ni WANAKIKUNDI
Chriss owin

Ashburn, VA

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#9
Mar 24, 2013
 
Kilicho changia wanfunzi kufeli mitihani ni wanafunzi kujihusisha sana kwenye mitandaao ya kijamii yaani facebok twitter,sky p na mingine mingi
Saidath

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#10
Mar 26, 2013
 
Yaani inasikitisha sanaa!serikali hii ya awamu ya nne wanapiga kelele shule zijengwe zana zenyewe hakuna walimu hakuna kwanini matokeo yasiwe mabaya inasikitisha sanaaaaa!!sijui tunaelekea wapi kwa dizaini hii umaskini utaisha kweli na omba mba je?wezi, vibaka, watazidi kuwa wengi.yangu ni hayo tuu!inabidi mfumo wa uwongozi kubadilika sasaa
samuel sanga

Cape Town, South Africa

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#11
Mar 27, 2013
 
Hapa dawa ni kuomba Mungu tufike salama hiyo 2015 waTanzania tuonyeshe kweli tunakerwa na system za serekali hii ya miaka nenda rudi kupachikana yeo kama sehemu ya shukurani.Waziri anaeleza pumba huko Cape Town Africa Kusini, hii ni aibu. Kazi kwenu 'People's power' njia nyeupe
suzy

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#12
Apr 9, 2013
 
elimu bora au bora elimu?jamani watanzania tuamke.
Godfrey john

Ashburn, VA

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#13
May 7, 2013
 
Srkl fanyen mpng wa kustandardize matokeo ili shule zipate wanafunz wa kuwachagua.hii ni aibu kwa taifa
chumina kaboko

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#14
May 11, 2013
 
Hivi kweli wanafunzi wa kidato cha nne watapata haki yao kama walivyojitaid mashulen

Tell me when this thread is updated: (Registration is not required)

Add to my Tracker Send me an email

Showing posts 1 - 13 of13
Type in your comments below
Name
(appears on your post)
Comments
Characters left: 4000

Please note by clicking on "Post Comment" you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Other Recent Tanzania Discussions

Search the Tanzania Forum:
Topic Updated Last By Comments
Call tanzania to india Free of cost from internet (Apr '10) Apr 11 Elias Plus A 5
Is Ally Edha Awadh is a Billionaire in Tanzania Apr 10 peter Kapagi 2
The best cars for Tanzanian market from Japan Mar 26 Broom 1
matokeo ya darasa la saba 2012 (Dec '12) Mar '14 yakub 386
If you need an urgent loan call +447012904601 (May '13) Mar '14 Gabrielle 5
post za form four 2010,second selection (Jul '10) Feb '14 walyoba 26
matokeo kidato cha nne 2013 utata mtupu Feb '14 SYLVESTER JOHN MAKINGI 3
•••
•••
•••
•••