matokeo ya darasa la saba

Posted in the Tanzania Forum

First Prev
of 4
Next Last
NYANKOI PETRO 1966

Tanzania, United Republic of

#1 Dec 15, 2012
kwanini siku hizi matoke ya darasa lasaba yanachelewa kutoka na hata kabla ya kutoka watoto wanakuwa wanaenda katika ofisi za kata kuyaangalia,,ebu wapunguzieni adha hii.
alfeo raymond

Mbeya, Tanzania, United Republic of

#2 Dec 15, 2012
jamani toeni matokeo basi si tunasubiri tarehe 15 ndo hiyoo imepita wakati kila ifikapo tarehe hiyo huwa tunayaona mtandaoni mbona mnayachelewesha
Heckson samson

United States

#3 Dec 16, 2012
Acheni kuwaweka roho juu watoto na wazazi..jamani toeni matokeo...
hamzahthomas

Tanzania, United Republic of

#4 Dec 17, 2012
tuonyesheni basi hayo matokeo
Japhary abdi

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#5 Dec 18, 2012
tumechoshwa na wahitimu kila kukicha wanataka kuona matokeo yao hebu yarusheni jameni baraza wanasumbua sana huku mitaani au ninyi hamlitambui hilo...,
Ntanga

Tanzania, United Republic of

#6 Dec 18, 2012
Toeni hayo matokeo ya darasa la saba, kwani tatizo nini!
angel mwanja

Tanzania, United Republic of

#7 Dec 18, 2012
mbona mnatucheleweshea hayo matokeo jamani toeni basi wazazi tuanze kujipanga.
emmanuel Enock

Tanzania, United Republic of

#8 Dec 18, 2012
najiuliza pengine mwaka huu matokeo ya darasa la saba hayatakuwepo,Maana siku imesonga sana. Na kama yapo hao walio faulu wajiandaa lini kuingia sekondari ambako wanakuota usiku na mchana?
Douglas

United States

#9 Dec 18, 2012
Mbona mnayachelewesha matokeo ya darasa la saba
Erik simone

United States

#10 Dec 18, 2012
Tatizo la nchi yetu,kila kitu mpaka tufanye tasmin na nyingi ni uchakachuaj na c kingine,wazir Mulugo toa tamko tujue cha kufanya ss wanafunzi.
Martin jonathan

United States

#11 Dec 18, 2012
Hivi matokoe yametoka kama yameto yapo website gani?
Patrick barnaba

Satellite Provider

#12 Dec 18, 2012
Toen bac ayo matokeo tule x-mass kwa raha
malik

Tanzania, United Republic of

#13 Dec 19, 2012
jamani 2 ambieni matokeo 2ya jue
Valentini Clementini

Ashburn, VA

#14 Dec 19, 2012
Jamani hayamatokeo vipi tuambienibasi kamanimabaya
david lasway

Ashburn, VA

#15 Dec 19, 2012
jamani vp kuhusu haya matokeo mbona yana cheleweshwa hivi ukizinga tia siku zina zidi kuyoyoma inabidi yatolewe mapema ili wazazi waweze kujipanga ili kukidhi mahitaji ya mwanafunzi bora.
Imani Julius

Ashburn, VA

#16 Dec 19, 2012
Hayo matokeo ni lini coz wa2 presha juu watoen waswas hawa madogo
rajabu salehe kanyama

United States

#17 Dec 20, 2012
matokeo ya darasa la saba mkoa wa TANGA WILAYA YA MUHEZA MBONA YA CHELEWA
Amina wa moro

Ashburn, VA

#18 Dec 20, 2012
Kama hakuna matokeo 2ambieni 2jue maana kimya hicho ha2kielewi mbona ham2uweki wazi
magdalena piyo

London, UK

#19 Dec 20, 2012
jamani kwan hayo matokeo yakisahihishwa kwa kompiter hakutatokea udanganyifu
Amina wa moro

Ashburn, VA

#20 Dec 20, 2012
X - mas ha2ili kwa raha sababu ha2jajua matokeo ya watoto wetu, yapo au yamefutwa? Km yapo yatoeni

Tell me when this thread is updated:

Subscribe Now Add to my Tracker
First Prev
of 4
Next Last

Add your comments below

Characters left: 4000

Please note by submitting this form you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Tanzania Discussions

Title Updated Last By Comments
Do you need a loan?apply to email:standardloanc... (Jun '13) Fri ephuraimu malinda 4
Why ISLAM is the religion of SATAN? (Aug '10) Dec 20 DavidJames618 2
Do Tanzanian women think somali men are attract... (Dec '13) Dec 20 Zaniagirlie 2
Clean euro Dec 19 Dr Abdullah saleh 1
need a girl for a serious relationship Dec 19 linvef 3
i need a sex mate with good cash (Dec '12) Dec 15 Nayla 21
matokeo ya darasa la saba 2012 (Dec '12) Dec 15 Exavery 387
More from around the web