Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2010

Posted in the Tanzania Forum

Comments
1 - 20 of 166 Comments Last updated Nov 5, 2013
First Prev
of 9
Next Last
VERONICA NAMIHAMBI

Satellite Provider

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#1
Jan 14, 2011
 
LINDI
VERONICA NAMIHAMBI

Satellite Provider

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#3
Jan 14, 2011
 
matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2010
mebo shabo

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#4
Jan 17, 2011
 
naomba matokeo ya kidato cha nne 2010
steven minja

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#5
Jan 17, 2011
 
naomba matokeo ya mtihani wa form 4 ya mwaka 2010 sasa
Issa Maulid

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#6
Jan 17, 2011
 
Jamani vp!! lini mtaachia matokeo yetu sababu siwaelewi kabisa wakubwa!! au ndo mnajaribu kuchakachua!! chakachua!,msifanye hivyo wazee wangu sababu wengine bila vyeti vya form 4 nchi hii tutageuka kuwa wakimbizi.Wahitimu wenzangu! tafadhari nawaomba tuwe na subira sababu matokeo ni yetu na lazima watayaachia.Kauli mbiu ya mwaka 2011 ni:TANZANIA BILA UCHAKACHUAJI HAIWEZEKANI!!,kwa maelezo zaidi piga cmu # 0713491135.
Issa Maulid

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#7
Jan 17, 2011
 
Steven minja ww ndo umeingia form 4 mwaka huu pale tusiime sec school iliyopo tabata sanene!! sasa matokeo yetu ya form 4 ww ya nn?soma kwa bidii friend coz now days life here in tz z too rough so its better 2 hustle 2day and relax 50 yrs 2 come!! former student of tusiime sec school,ISSA MAULID.
shedrack shaban

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#8
Jan 18, 2011
 
shikamo wazee matokeo lini watu presha juu alafu vipi kuhusu mwaka huu hamja jua kwamba kidato cha nne mwaka jana ni wengi kuliko shule za a level wazee hapo vipi
nisetas lyatonga

Mount Morris, MI

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#9
Jan 18, 2011
 
dah bora yacheleweshwe tu hivyohivyo wakubwa mda bado achen tule bata kwanza
kmms Alk

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#11
Jan 18, 2011
 
hey we hope all 2pas hahahhaha......!!!!it wll b very fun hahhahaha........!!
kmms Alk

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#12
Jan 18, 2011
 
hahahha no way we miss our skul......2namisss physics hahahahha.........
Suleiman

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#13
Jan 19, 2011
 
matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2010
Suleiman s

Mount Morris, MI

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#14
Jan 19, 2011
 
Haya matokeo bora yactoke yafutwe angalau tufanye mambo yetu bila ya hofu
Regnald Giany

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#15
Jan 19, 2011
 
Jaman matokeo yanawatia wa2 presure fanyeni myatoe muondoe hofu za wadhaifu wa kusoma
Kilimanjaro-2011

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#16
Jan 19, 2011
 
matokeo yanawekwa wazi lini? maana hata applications za Form V zategemea hayo, mnatupa wakati mgumu sana. tangazeni matokeo yaliyo sahihi bila upendeleo wala uzoefu, maana tunapigika na maisha ya kitaa.
wa arusha

Arusha, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#17
Jan 19, 2011
 
jamani matokeo yameweka roho zetu juujuu fanyeni mpango myaweke wazi
Amedeus damas munishi

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#18
Jan 20, 2011
 
Jamani naombeni myaweke wazi hayo matokeo, kwani nyumbani hakukaliki
SOMSOM SEC

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#19
Jan 20, 2011
 
Chonde chonde baraza tuwekeni wazi mbona ivo?
SOMSOM SEC

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#20
Jan 20, 2011
 
AMEDEUS DAMAS MUNISHI, JUNIOR MUNISHI. FASILI MUNISHI atc.
Geraldmushi

Arusha, Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#21
Jan 20, 2011
 
polen kwa kaz nzito ya kusahihisha mitihani yetu Lakini matokeo yetu yanatoka lini?
Reinhard mnyawami

Tanzania, United Republic of

|
Report Abuse
|
Judge it!
|
#22
Jan 20, 2011
 

Judged:

1

Ninaomba serikari ijaribu kuwafikilia wale ambao somo moja linaweza lisibalance tunapenda kutimiza malengo yetu lkn ndio hivyo mala nyingine masomo yanakuja tofauti na tunavyo tegemea.asante kwa kufanyia kazi maoni yangu.

Tell me when this thread is updated: (Registration is not required)

Add to my Tracker Send me an email

First Prev
of 9
Next Last
Type in your comments below
Name
(appears on your post)
Comments
Characters left: 4000

Please note by clicking on "Post Comment" you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Other Recent Tanzania Discussions

Search the Tanzania Forum:
Title Updated Last By Comments
Kuwaiti, Tanzanian FMs discuss cooperation (Aug '13) Jul 20 diana 7
Is Ally Edha Awadh is a Billionaire in Tanzania Jul 16 Vinodh 3
form four second selection (Jul '11) Jul 15 chidunda 4
msichana mrembo with a big..booty need Jul 10 vjj 1
DR mercy womens clinics in randburg,krugersdorp... Jul 7 Dr mercy 1
matokeo ya darasa la saba 2012 (Dec '12) Jul 6 sponge bob 385
Vitali Maembe (Jan '07) Jun '14 Prodo Chuma 4
•••
•••