National Form Four Exam results out

National Form Four Exam results out

There are 1063 comments on the Ippmedia.com story from Feb 9, 2007, titled National Form Four Exam results out. In it, Ippmedia.com reports that:

National Form Four National Examination results for 2006 were released yesterday in Dar es Salaam.

Join the discussion below, or Read more at Ippmedia.com.

hemedy ituja

Tanzania, United Republic of

#44 Jan 2, 2008
kwanza poleni na kazi nauliza matokeo ya form two yanatoka lini mbona yanachelewa hivyo na naomba mtupatie websites za uhakika za kupata matokeo.
ISSA MUSTAPHA

Tanzania, United Republic of

#45 Jan 2, 2008
Website yenu ikopoa kimuonekano ilaka haiko wazi sana kutulahisishia sisi tusio weza kuperuz sana,kama kujua ni jinsigani nitapata kuona matokeo ya kidato cha pili na yale ya miaka ya nyuma.
issa mwilima

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#47 Jan 3, 2008
hey jamani tumechoka kusubiri matokeo yatoeni basi maana mwaka 2008 umeingia na shule zina funguliwa
peter j akyoo

Lithuania

#48 Jan 3, 2008
mimi peter joseph tunawapa pole baraza la mitiani tunaona kazi imewashinda mpaka leo matokeo mbado
daniel temba

Satellite Provider

#49 Jan 4, 2008
am reasking on when exactly form two natonal exam result will be out.and which web are we supposed to get them after being out,plz!!!
jane

Tanzania, United Republic of

#50 Jan 4, 2008
mbona matokeo ya form two sijayaona kwenye mtandao.hebu basi mnielekeze niangalie website gani ili nifanikiwe.
Bahini Deus

South Africa

#51 Jan 4, 2008
Bado sana Necta, mnatakiwa muende na wakati kila kitu kinachohusu elimu tunategemea kukipata kwenye mtandao wenu na hasa matokeo ya aina zote, kuanzia shule za msingi, form II, form IV, Six na Vyuo vyote TZ. Na tuwe na uwezo wa kutafuta matokeo yoyote miaka ya nyuma n.k. bado manachangamoto nyingi sana.
azizo

Tanzania, United Republic of

#54 Jan 4, 2008
POLENI NA KAZI BARAZA LA MITIHANI.
vipi matokeo ya form two yatatoka lini katika website yenu. Tunaomba myatangaze.
azizo

Tanzania, United Republic of

#55 Jan 4, 2008
Bado sana Necta, mnatakiwa muende na wakati kila kitu kinachohusu elimu tunategemea kukipata kwenye mtandao wenu na hasa matokeo ya aina zote, kuanzia shule za msingi, form II, form IV, Six na Vyuo vyote TZ. Na tuwe na uwezo wa kutafuta matokeo yoyote miaka ya nyuma n.k. bado manachangamoto nyingi sana.
azizo

Tanzania, United Republic of

#56 Jan 4, 2008
vipi matokeo ya form two yatatoka lini katika website yenu. Tunaomba myatangaze basi matumbo joto watoto wenu.
Kajukano Derick

Satellite Provider

#57 Jan 4, 2008
Napongeza jitihada zote zinazofanywa na baraza la mitihani katika kuhakikisha mitihani inafanyika na matokeo kuwa ya haki pamoja na idadi ya wanafunzi kuwa wengi.
Kwa kweli ingependeza zaidi endapo matokeo na maelezo zaidi yangekuwa yanawekwa katika tovuti wakati muafaka, yani pale tu yanapotolewa. Hii itadhihilisha ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya inayo sisitizwa nchini. Isitoshe, ulimwengu mzima sasa unabadilika na karibu kila kitu kinafanywa kupitia mitandao.
Isaya Yonamu Ngao

Tanzania, United Republic of

#58 Jan 4, 2008
I suggest that the results are aired the sooner after they are ready.We who live in London and have schooling youngs in our home country would like to access the results through Internet. Please be sharp, this is another world! match other wise you will be left behind
tom

Tanzania, United Republic of

#59 Jan 4, 2008
Matokeo ya kidato cha pili mbona hatuyaoni ya mwaka 2007
Chriss

Satellite Provider

#60 Jan 5, 2008
tunataka kuona na ya darasa la saba, huu ni utandawazi bwana... serikali iache ubabaisahaji.
shafiq

Satellite Provider

#61 Jan 5, 2008
hey when are you going to show us the form 2 results
Hassan Twaha

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#62 Jan 5, 2008
matokeo ya form two yashatoka zamani gani unalala sana
kenny

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#63 Jan 5, 2008
Dah! we would really lyk 2 c form 2 necta results out y r u delayn' on us!!!!!!
zainab

Tanzania, United Republic of

#64 Jan 6, 2008
hey,whn r u goin to show us form2 results,our skulz r opening,plz make it fast
Maria Senguo

Tanzania, United Republic of

#67 Jan 6, 2008
Baraza la mitihani, kama nguvu ni ndogo tuiteni tuwasaidie kuchapa. watu waende na wakati eti. vp matokeo ya frm Two!!!!
Gratia John

Tanzania, United Republic of

#68 Jan 7, 2008
hallo!where are the form 2 results.plz show us fast.our shoolz are opening.why are you still delaying.are you sleeping.plz go with the generation or you wil be left behind.guys

Tell me when this thread is updated:

Subscribe Now Add to my Tracker

Add your comments below

Characters left: 4000

Please note by submitting this form you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Family Discussions

Title Updated Last By Comments
News Milbank: Why did Republicans embrace the Duggar... 7 min Ex Senator Santpo... 2
News Why woo the Duggars? 9 min Tazo 6
News Halton public elementary teachers joining incre... 30 min Maltamon 4
News Random drug tests nothing new to Southern Illin... 2 hr Willie Too Big Hall 3
News Alan Chartock: Targeting second-home owners is ... 3 hr Glen Back 6
News 6 Ways to Save Money on Summertime Child Care 3 hr Marvin 1
News Why more than 100,000 people have asked TLC to ... 4 hr Tazo 55
More from around the web