mnatuuwa kwa kuchelewesha form 4...
Dalley

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#21 Feb 1, 2008
Whats going on!P/se do release the result for form 4 exams 2007.
stanley msoffe

Tanzania, United Republic of

#22 Feb 1, 2008
oops i nid my zero!
mohammed mssa

Tanzania, United Republic of

#23 Feb 1, 2008
nahitaj matokeo form 4
Julius msale

Tanzania, United Republic of

#24 Feb 1, 2008
Matokeo tayari yamekwisha tangazwa,mbona website www.nect.go.tz haifunguki?au imebadilishwa? naomba mnijulishe nina wadogo zangu wanasubiria matokeo yao kwa hamu sana.
Powlet

Tanzania, United Republic of

#25 Feb 1, 2008
Jamani wewe tunachoka kuambiwa tuna division ngpi simtoe matokeo ya form 4 2007 tujue moja mbona mnayabania hivyo? Who ever knows please email me at [email protected]
jerry

Tanzania, United Republic of

#26 Feb 1, 2008
yasha toka?
jerry

Tanzania, United Republic of

#27 Feb 1, 2008
yaani ninyi hamjayaona matokeo tuu.
Doto

Xian, China

#28 Feb 1, 2008
huu ni upuuzi wanataka kwanza yakitoka wayauzeeeeeee magazetini ndio wayatoe kwa walalahoi wengine
nelly

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#29 Feb 1, 2008
nyie mbwa leteni hayo majibu acheni upuzi wenu sisi tuna kufa nyie mnachekelea tu tumeni basi acheni poziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Baraka Elly

Tanzania, United Republic of

#30 Feb 1, 2008
Hayo matokeo yametangazwa lkn kwenye net mbona hayapo?Ama necta wameshindwa kazi.Kama kuna anayejua yanapatikana website gani anitumie [email protected]
wilson Rando Kilimanjaro

Kenya

#31 Feb 1, 2008
web hii ndiyo inayo matokeo hayo www.necta.go.tz
au unaweza kuyapata kwa njia ya simu,kwa maelezo zaidi tumia Google search engine kuelewa zaidi.
poleni kwa kusubiri
Baraka Elly

Tanzania, United Republic of

#32 Feb 1, 2008
Ndiyo www.necta.go.tz inayo lkn server yake kimeo ni vigumu kuangalia nimekesha toka jana mpaka leo najaribu kuifungua lkn wapi ipo busy muda wote.Hayo ndiyo mambo gani NECTA..........
tweety

Tanzania, United Republic of

#33 Feb 2, 2008
necta mnaboa kwa nini hamtaki kufungua hiyo website mnatudanganya then tukifungua hamna kitu kuweni wastaarabu.
tweety

Tanzania, United Republic of

#34 Feb 2, 2008
inasikitisha sanaaaa
tweety

Tanzania, United Republic of

#35 Feb 2, 2008
naomba mnifahamishe kuangalia majibu kwa njia ya simu maana nimeshindwa kabisa
Del Manka

Tanzania, United Republic of

#36 Feb 4, 2008
Jamani hayo amtokeo vipi mbona hatuendi na wakati?
JOSHUA

Uganda

#37 Feb 5, 2008
uv got div 2
Emmanuel

India

#39 Feb 5, 2008
Jinsi gani naweza kuona matokeo!
Kwa njia ya barua pepe,nikiwa nje ya bongo!
My youngbrother ni mmoja wa watahiniwa ningependa kujua matokeo yake!


Emmanuel From India!
lameck mwasabwite

Tanzania, United Republic of

#40 Feb 27, 2008
no comments
tajmohamed abbas

Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of

#41 Feb 28, 2008
nimeenda kuchukua result slip lakini nimebadilishiwa namba.naomba nijue namba yangu.nilifanya mtihani wa kidato cha nne 2007 kama private candidate kwenye tawi la green acres school jina langu ni TAJMOHAMED ABBAS.centre namba p/1197.please its urgent.asante

Tell me when this thread is updated:

Subscribe Now Add to my Tracker

Add your comments below

Characters left: 4000

Please note by submitting this form you acknowledge that you have read the Terms of Service and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator. Send us your feedback.

Family Discussions

Title Updated Last By Comments
News Should students learn cursive? Some states say yes (Nov '13) 1 hr Big Johnson 132
News Mormon church pulls older teens out of Boy Scouts 7 hr The Troll Stopper 43
News 3 Mississippi Co., MO women facing assault char... 8 hr Put these four away 35
News Chicago court stays deportation of pizza worker... 13 hr Geezer 1
News Middle School Gay-Straight Alliance Allowed To ... 17 hr Evilgelicalling 38
News Gay Couple and Their 3 Kids Denied 'Family Boar... 19 hr Gremlin 9
News Gray Matters: Be healthy, avoid geezer jokes (Feb '09) 21 hr Ulysses G 85
More from around the web